Sina pa kwenda
Senior Member
- Nov 18, 2010
- 113
- 15
Habari zenu wanajamvini, kwanza kabisa nimezunguka kutafuta viwanja kila sehemu bei juu yaani kila kitu siku hizi kimepanda, msadaa wa kwanza nataka kununua kiwanja nielekezeni ni mitaa ya wapi nitapata kiwanja ambacho bei yake iko pouwa kwa hali ya mtanzania kama tujuanavyo halafu pili nikitaka kujenga nyumba ya kawaida yaani, vyumba vitatu vya kulala, sitting rum, dinning, jiko na choo inaweza ikacost howmuch?
viwanja vipo vingi sana unataka wapi na unakiasi gani? kama uko Dar masaky, knyama, mbezi beach viwanja vizuri vinaanzia 50M ila maeneo kama mbagala mwisho, chanika, kongowe, mvumoni, goba kuanzia 2M unapata. ujenzi wa nyumba inategemea na mateial na quality ya nyumba kama fance nk ukiwa na 25M waweza jenga kigumu.
Habari zenu wanajamvini, kwanza kabisa nimezunguka kutafuta viwanja kila sehemu bei juu yaani kila kitu siku hizi kimepanda, msadaa wa kwanza nataka kununua kiwanja nielekezeni ni mitaa ya wapi nitapata kiwanja ambacho bei yake iko pouwa kwa hali ya mtanzania kama tujuanavyo halafu pili nikitaka kujenga nyumba ya kawaida yaani, vyumba vitatu vya kulala, sitting rum, dinning, jiko na choo inaweza ikacost howmuch?
<br />haya maeneo niliyo ya-bold yana-utata tosha<br />
1- masaki, knyama mbezi beach etc... hakuna viwanja vya bei hizo... bei inaanzia 100m kwa maeneo ya mbezi na knyama ila masaki inaanzia usd 300,000- usd 3,000,000. kama huamini soma matangazo kwenye magazeti utakubali mwenyewe<br />
2- kiwanja cha 2m hupati mitaa ya goba na mivumoni labda mbagala<br />
3- nyumba ya 25m 3-bedrooms sio kweli labda ajenge asiweke milango, madirisha, umeme, maji etc...iwe amejenga banda na kulivunika bati..tena bati zenyewe ziwe zileee za kizamani..kitaalamu zinaitwa corrugated iron sheets na sio hizi mnazoita za south afrika au migongo mipana kitaalamu Industrial trough sheets... ni mtazamo wangu wa kitaalamu na kijamii zaidi.
kigamboni 25km from ferry acre 1 = 1.6mil.
hamna umeme,maji unachimba kwa 2mil. solar unaweka ya 1mil.
Mkuu nenda kigamboni kuna viwanja vilivyopimwa tofauti vile vya mradi wa mji wa kigamboni, milioni 5 unapata kiwanja unajenga nyumba yako ya kawaida!
Mwakani NSSF wanajenga daraja dakika 30 mzee umefika mjini