Msaada wa ukweli

Nothing4good

Senior Member
Joined
Feb 19, 2011
Posts
180
Reaction score
55
Napenda kumshukuru huyu kaka aliyeweka namba yake kwenye thread ya natafuta mpenz na wale wote wenye tabia ya kuweka no za simu kanisaidia sana huwezi amini nilikua nikitamani sana kuingia humu lakini nilikua siwezi.nawasalimu sana wana jf KHABARIII YA HAPA!!
 
sikuwa naogopa??????ILA
Nimeona huku jf kuna wa2 wanatafuta wapenzi sasa wakwangu akiniletea za kuleta natmka maana najua hapa jf sitakosa ndo mana nimejiunga
:laugh::laugh::laugh::laugh: Safi sana karibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…