Msaada wa unlock Airtel router (5G smart box)

Dannis

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2016
Posts
1,603
Reaction score
1,702
Habari wakuu,
Wiki chache nyuma nilikuja jukwaani kuomba msaada wa jinsi ku block users amabo wanapata access ya password,

Baada ya kuitumia Router ya Airtel kwa kipindi kirefu sasa imeanza kunipa kuchangamoto kadhaa ikiwepo kupungua kwa kasi ya internet nimechoka kuvumilia ikumbukwe nalipia kifurushi 110,000/- kila mwezi
Naomba msaada wa ku unlock hii router ili niweze kutumia laini ya mitandao mingine.
 
Kuhusu kununua universal router na hizi za mitandao, which one is better for beneficial usage?
 
Hua huwezi ku i unlock hiyo router kirahisi mana hua zinakuja zikiwa universal yani zikiwa na uwezo wa kuingia lini yoyoto ila hua ukisha hudumiwa wanazi map na hua wanaingiza IMEI kwenye system na ku block other ISP so kurudisha ili iweze kutumika tena kwa mitandao yote ni mpaka wao wenyewe waruhisu.

USHAURI
Bora uamue kuchukua tuu router za universal ninazouza mm ni laki moja tu hizo zinaingia laini yoyote so ukiona mtandao flani unazingua unahamia mtandao mwingine chap😂
Pia wale kama unahitaji kuanza kutumia router (Wi-Fi)nicheki nikuulize ulize nijue ni router gani inaweza kulufaa kulingana na matumizi yako nikushauri bure! Ukiingia kichwa kichwa ndo ivo badae utakuja kujutoa!
0717700921
 
Fanya utafiti, hizo router watu wanazi-unlock vizuri tu
 
Tunafanya network unlock kwa router za airtel 5g smart box (zlt x25 na zlt x28) ili uweze kutumia line ya mtandao wowote.
Nicheck whatsapp CyberMonster
 
Mimi naomba kujua kama naweza pata line ya tigo kwa ajiri ya unlimited internet ile inayoweza unga kifurushi cha 70k.

Zawadi nono itatolewa😁
 
Hua huwezi ku i unlock hiyo router kirahisi mana hua zinakuja zikiwa universal yani zikiwa na uwezo wa kuingia lini yoyoto ila hua ukisha hudumiwa wanazi map na hua wanaingiza IMEI kwenye system na ku block other ISP so kurudisha ili iweze kutumika tena kwa mitandao yote ni mpaka wao wenyewe waruhisu.

USHAURI
Bora uamue kuchukua tuu router za universal ninazouza mm ni laki moja tu hizo zinaingia laini yoyote so ukiona mtandao flani unazingua unahamia mtandao mwingine chap😂
Pia wale kama unahitaji kuanza kutumia router (Wi-Fi)nicheki nikuulize ulize nijue ni router gani inaweza kulufaa kulingana na matumizi yako nikushauri bure! Ukiingia kichwa kichwa ndo ivo badae utakuja kujutoa!
0717700921
Mkuu labda kama una push kuuza router zako ila hizo box zina kuwa unlocked vizuri kabisa, mimi nikiwa mmoja wa watumiaji wa unlocked X28.
 
Back
Top Bottom