Kwa nini wanafanya hiviMKUU HAYO MATUMIZI YAKO UNAHISI UMETUMIA GBs NGAPI?WANA TABIA YA KUPUNGUZA SPEED UKIFIKA MATUMIZI FULANI
BASI KUNA SHIDA YA MTANDAO HAPO ULIPOKawaida matumizi yangu hayavuki GB 650
Fanya utafiti, hizo router watu wanazi-unlock vizuri tuHua huwezi ku i unlock hiyo router kirahisi mana hua zinakuja zikiwa universal yani zikiwa na uwezo wa kuingia lini yoyoto ila hua ukisha hudumiwa wanazi map na hua wanaingiza IMEI kwenye system na ku block other ISP so kurudisha ili iweze kutumika tena kwa mitandao yote ni mpaka wao wenyewe waruhisu.
USHAURI
Bora uamue kuchukua tuu router za universal ninazouza mm ni laki moja tu hizo zinaingia laini yoyote so ukiona mtandao flani unazingua unahamia mtandao mwingine chap😂
Pia wale kama unahitaji kuanza kutumia router (Wi-Fi)nicheki nikuulize ulize nijue ni router gani inaweza kulufaa kulingana na matumizi yako nikushauri bure! Ukiingia kichwa kichwa ndo ivo badae utakuja kujutoa!
0717700921
Router ya airtel ni nzuri zaidi kwavile inakuja na power bank.Kuhusu kununua universal router na hizi za mitandao, which one is better for beneficial usage?
650gb per day hapo unatudanganyaKawaida matumizi yangu hayavuki GB 650
Mkuu labda kama una push kuuza router zako ila hizo box zina kuwa unlocked vizuri kabisa, mimi nikiwa mmoja wa watumiaji wa unlocked X28.Hua huwezi ku i unlock hiyo router kirahisi mana hua zinakuja zikiwa universal yani zikiwa na uwezo wa kuingia lini yoyoto ila hua ukisha hudumiwa wanazi map na hua wanaingiza IMEI kwenye system na ku block other ISP so kurudisha ili iweze kutumika tena kwa mitandao yote ni mpaka wao wenyewe waruhisu.
USHAURI
Bora uamue kuchukua tuu router za universal ninazouza mm ni laki moja tu hizo zinaingia laini yoyote so ukiona mtandao flani unazingua unahamia mtandao mwingine chap😂
Pia wale kama unahitaji kuanza kutumia router (Wi-Fi)nicheki nikuulize ulize nijue ni router gani inaweza kulufaa kulingana na matumizi yako nikushauri bure! Ukiingia kichwa kichwa ndo ivo badae utakuja kujutoa!
0717700921
Ulifanikiwa vipiMkuu labda kama una push kuuza router zako ila hizo box zina kuwa unlocked vizuri kabisa, mimi nikiwa mmoja wa watumiaji wa unlocked X28.
Mimi kuna mwamba humu humu kwenye majukwaa ya jamii forum alinisaidiaga ku-unlock router yangu.. Tena anakuelekeza mwenyewe mnafanya kwa kutmia simu yako.Ulifanikiwa vipi
Ni nani huyo mkuuMimi kuna mwamba humu humu kwenye majukwaa ya jamii forum alinisaidiaga ku-unlock router yangu.. Tena anakuelekeza mwenyewe mnafanya kwa kutmia simu yako.