O OgaBoy JF-Expert Member Joined Aug 22, 2022 Posts 4,031 Reaction score 6,156 Jul 19, 2025 #21 Ilisolokobwe said: 650gb per day hapo unatudanganya Click to expand... Sasa mbona hizo ndogo sana
D DjMeku New Member Joined May 15, 2023 Posts 2 Reaction score 0 Mar 19, 2026 #22 the supporter said: Mkuu labda kama una push kuuza router zako ila hizo box zina kuwa unlocked vizuri kabisa, mimi nikiwa mmoja wa watumiaji wa unlocked X28. Click to expand... Naomba muongozo tafadhali, Njoo Inbox ππ½
the supporter said: Mkuu labda kama una push kuuza router zako ila hizo box zina kuwa unlocked vizuri kabisa, mimi nikiwa mmoja wa watumiaji wa unlocked X28. Click to expand... Naomba muongozo tafadhali, Njoo Inbox ππ½
D DjMeku New Member Joined May 15, 2023 Posts 2 Reaction score 0 Mar 19, 2026 #23 Greatest Of All Time said: Fanya utafiti, hizo router watu wanazi-unlock vizuri tu Click to expand... Naomba maelekezo tafadhali ππ½ Karibu Inbox
Greatest Of All Time said: Fanya utafiti, hizo router watu wanazi-unlock vizuri tu Click to expand... Naomba maelekezo tafadhali ππ½ Karibu Inbox
utakuja JF-Expert Member Joined Sep 20, 2010 Posts 1,067 Reaction score 1,037 Oct 27, 2026 #24 Naona hapa mshikaji anaonyesha kuwa sasa anaweza kufyatua loki ya Airtel ZLT X25 zenye firmware ya 4.9.0 View: https://youtu.be/zWh7fx-Tioc?si=iFnRkv7tmQX1nnkb Je, wataalamu wa mambo haya hii ni kweli maana kwa sasa sina Laptop ya Windows ili niweze kutesti tool yake.
Naona hapa mshikaji anaonyesha kuwa sasa anaweza kufyatua loki ya Airtel ZLT X25 zenye firmware ya 4.9.0 View: https://youtu.be/zWh7fx-Tioc?si=iFnRkv7tmQX1nnkb Je, wataalamu wa mambo haya hii ni kweli maana kwa sasa sina Laptop ya Windows ili niweze kutesti tool yake.