Msaada wa upasuaji: Baba yangu anasumbuliwa na GOITA

SENGATI

Senior Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
127
Reaction score
26
Salaam,

Naombeni sana msaada wa kupata daktari atakaemtibu baba yangu anasumbuliwa na uvimbe kooni (Goita).. Nimetafuta huduma sehemu nyingi but hajapata nafuu nahisi the best option ni kufanyiwa upasuaji. Wataalamu wangu nitashukuru sana kama nitapata daktari bingwa atakayemtibu baba yangu. Mimi niko Dar es salaam. ASANTE
 
mkuu pole sana hakuna dawa ni upasuaji niilikua na mama angu mdogo ana sumbuliwa na hii gonjwa akafanyiwa upasuaji ilabado uvimbe unarudi na wanasema hua unarudi hata ukifanyiwa sasa sjui n kweli au la nenda muhimbili mkuu
 
Kuna mfanyakazi mwenzangu kafanyiwa operation ya goita mwezi uliopita..sasa yupo fiti anacheka kwa sanaa...

Nenda sanitar clinic ulizia doctor Iqbar Ali..
 
Mkuu SENGATI Ukitaka Baba yako asifanyiwe Oparesheni ya Upasuaji mimi ninayo dawa akitumia kwa muda wa miezi 2 atapona bila ya kufanyiwa Operesheni ya upasuaji ukihitaji hiyo Dawa nitafute kwa wakati wako kwa kubonyeza hapa.Mawasiliano
 
Last edited by a moderator:
K.c.m.c consultant hospital ni wapasuaji wazuri .niliona jamaa mmoja alipasuliwa tena ile inayokua ndani kwa ndani shingoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…