Habari wanandugu..... Mimi ni mgeni humu. Nina miaka 27... Tatizo langu ni kwamba nina hisi testosterone zangu zimeshuka maana uume unashindwa kusimama vizuri na msisimko umepungua, je hapa dar ni hospital gani naweza kwenda kupatiwa vipimo na tiba kamili.... Kwa yeyote anayefahamu anafahamishe