Msaada wa usajili wa biashara ya stationery

Msaada wa usajili wa biashara ya stationery

winner100

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Posts
325
Reaction score
209
Habari za majukumu wapendwa !!!
Naomba kujuzwa hatua kwa hatua namna kusajiri biashara na kupata lesseni.
Biashara yenyewe ni ya statationery and business center.

Natanguliza shukrani.
 
Sasa hatua gani unataka nenda mapato watakuelezea!!...
 
1474978622824.jpg
 
kwa navyojua hakuna tin namba ya biashara au personal. all is same. lesini ya stationary haizi 80000, tra,150000,upto 200000. ukienda kujielezea kama sonko fulani ivi utalipa 450000 upto 1000000.
ukienda kata leseni hakikisha una experiance na ubahili wa kuongea herufi, yaani ndo unaanza hali ngumu,fotocopy na computer, hujanunua umehodhi toka kwa famili member ivi ,watakueka nchi . usiwe na mkono mfupi.
 
Back
Top Bottom