Mbona ukilog in kule kwenye mfumo wa ess, then kuna sehemu utaona wameandika documents utaziona paleWakuu..!!
Kama mnavyojua sasa Serikali ipo kiganjani kwa kuthibitisha hilo, kwa upande wa utumishi wa Umma
mambo yote ya kiutumishi yanafanyika kupitia mtandao(ESS).
Hivyo basi nimejaribu kufungua/kupakua "user manuals" zinazohuhusu uhamisho wa watumishi ila mfumo unagoma.
Bila shaka humu kuna HRs wa taasisi mbalimbali hapa nchini.
Shida yangu kubwa ni kupata "User Manuals" for
1. EXCHANGE TRANSFER USER
MANUAL FOR EMPLOYEES
2. STEP BY STEP TO CREATE
TRANSFER IN ESS.
ila mimi kwangu hizo option ya eloan na leave hakuna, sijui kwa nn, yan hakuna service hzo kwenye account yangu ya utumishiKama alivosema Jooh12
Checki hapo utaona rangi nyekundu imewaka waka.. utapata kila kitu
View attachment 2969928
Wasiliana na IT wa taasisi yako akupe role kwenye mfumo wa ESS ndiyo utaziona hizo service.ila mimi kwangu hizo option ya eloan na leave hakuna, sijui kwa nn, yan hakuna service hzo kwenye account yangu ya utumishi