Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Salam kwa wote hapa jf!!
Naomba msaada wa ushauri wenu ambao mnamiliki Pikipiki za aina tofautitofauti ni ipi nzuri kwa maana ya vipuri na matengenezo yake.
Lengo na matumizi ya pikipiki ni kwendea shamba na safari nyingine fupi fupi za maeneo jirani,
N:B Najua kwasasa kuna matoleo mengi sana ya bidhaa hiyo ila sijawahi kumiliki najua mlioko mnaweza nipa mawazo/ushauri wa aina!
Natanguliza shukrani.tele kwa yoyote anakageguswa na kunishauri. Niko Moro ikiwezekana basi ukinitajia aina hata.duka ili nami nikajiridhishe hapo.