Msaada wa ushauri aina nzuri ya Pikipiki !!

Kennedy

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2011
Posts
54,894
Reaction score
64,043
Salam kwa wote hapa jf!!

Naomba msaada wa ushauri wenu ambao mnamiliki Pikipiki za aina tofautitofauti ni ipi nzuri kwa maana ya vipuri na matengenezo yake.

Lengo na matumizi ya pikipiki ni kwendea shamba na safari nyingine fupi fupi za maeneo jirani,


N:B Najua kwasasa kuna matoleo mengi sana ya bidhaa hiyo ila sijawahi kumiliki najua mlioko mnaweza nipa mawazo/ushauri wa aina!

Natanguliza shukrani.tele kwa yoyote anakageguswa na kunishauri. Niko Moro ikiwezekana basi ukinitajia aina hata.duka ili nami nikajiridhishe hapo.
 
Ducati Multistrada

ingia ebay zipo cheap na used

unless nunua boxer BM
 
Tafuta boxer 150cc itafaa kwa shughuli hizo...ni imara,inadumu japo spea zake ni ghali kidogo lakini zinadumu sana..bei yake nadhani imefika 2,100,000tsh...
 
Tafuta boxer 150cc itafaa kwa shughuli hizo...ni imara,inadumu japo spea zake ni ghali kidogo lakini zinadumu sana..bei yake nadhani imefika 2,100,000tsh...

Poa Mkuu na shukrani sana.
 
boxer spear zake ghali sana, ila ni mzuri na confortable kama PESA IPO NUNUA IYO
 
Usinunue Boxer kwa kwendea shamba, kipindi cha mvua zinateleza sana! pikipiki nzuri kwa purukushani za shamba ni xl honda au hata za kichina kama unahela ya kutosha. Mfuko hauruhusu, basi nunua sanlg.
Chonde chonde matumizi ya boxer nyekundu ni hatari kwa maisha yako, ndo zinaongoza kwa ajari na mauaji! kuna namna wahindi wamezifanyia!! bei ya boxer morogoro kwa makundi ni 1950000.
 

Shukrani Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…