memory card
JF-Expert Member
- Dec 17, 2013
- 256
- 163
Hata mimi sitaki kumuudhi mleta uzi. Ngoja niwe msomaji tu.Nafuatilia huu uzi
Kama kilikuwa kimepimwa na kilikuwa na mpaka Namba ya kiwanja tayari (Plot Number) na tayari umekiuza nusu, unapaswa uwaite tena wapimaji ili wafanyie amendment mchoro wa ramani ya hilo eneo wa awali ili waweze kutoa viwanja viwili kutokana na ukubwa wa eneo lililobakia. Baada ya hayo marekebisho ndio utaweza kufuatilia process za kuandaliwa hati.Salam,
Ndugu zangu naomba ufafanuzi wa kitaalamu nilinunua kiwanja ambacho kimepimwa kabisa na kiukweli kilikuwa kikubwa sio mtaalam sana ila wakati tunahesabu hatua ilikua 60 kwa 40 na kipo kwenye makazi ya watu kiufupi kamji kanakuwa kweli huku kwetu swax.
Nilivyoona hiki kiwanja ni kikubwa nikamkatia jamaa flani migu 20 maana yake kiwanja 1 kilichopimwa mi nikamkatia jamaa miguu 20 kwa hiyo mpaka sasa vimekuwa 2.
1) Je kuna athari yeyote mbeleni huko?
2) Kuna uwezekano wa kupimwa tena vitoke viwili maana yake wagawe pale kati mpakani kwa jamaa?
3) Nikitaka hati inakuaje?
thanks sana blazaKama kilikuwa kimepimwa na kilikuwa na mpaka Namba ya kiwanja tayari (Plot Number) na tayari umekiuza nusu, unapaswa uwaite tena wapimaji ili wafanyie amendment mchoro wa ramani ya hilo eneo wa awali ili waweze kutoa viwanja viwili kutokana na ukubwa wa eneo lililobakia. Baada ya hayo marekebisho ndio utaweza kufuatilia process za kuandaliwa hati.
Halafu ili Jamaa uliyemuuzia asiingie gharama zaidi unatakiwa kukitoa kwa Makubaliano ya Kumpa Zawadi (Gift Deed).Kama kilikuwa kimepimwa na kilikuwa na mpaka Namba ya kiwanja tayari (Plot Number) na tayari umekiuza nusu, unapaswa uwaite tena wapimaji ili wafanyie amendment mchoro wa ramani ya hilo eneo wa awali ili waweze kutoa viwanja viwili kutokana na ukubwa wa eneo lililobakia. Baada ya hayo marekebisho ndio utaweza kufuatilia process za kuandaliwa hati.
Nyinyi watu wengine mnaboa sana, hata mnaweza kufanya mtu akajuta kufungua nyuzi zenu.Salam,
Ndugu zangu naomba ufafanuzi wa kitaalamu nilinunua kiwanja ambacho kimepimwa kabisa na kiukweli kilikuwa kikubwa sio mtaalam sana ila wakati tunahesabu hatua ilikua 60 kwa 40 na kipo kwenye makazi ya watu kiufupi kamji kanakuwa kweli huku kwetu swax.
Nilivyoona hiki kiwanja ni kikubwa nikamkatia jamaa flani migu 20 maana yake kiwanja 1 kilichopimwa mi nikamkatia jamaa miguu 20 kwa hiyo mpaka sasa vimekuwa 2.
1) Je kuna athari yeyote mbeleni huko?
2) Kuna uwezekano wa kupimwa tena vitoke viwili maana yake wagawe pale kati mpakani kwa jamaa?
3) Nikitaka hati inakuaje?
Jina lako haliendani kabisa na hicho ulichofanya, vinatofautiana sana.Salam,
Ndugu zangu naomba ufafanuzi wa kitaalamu nilinunua kiwanja ambacho kimepimwa kabisa na kiukweli kilikuwa kikubwa sio mtaalam sana ila wakati tunahesabu hatua ilikua 60 kwa 40 na kipo kwenye makazi ya watu kiufupi kamji kanakuwa kweli huku kwetu swax.
Nilivyoona hiki kiwanja ni kikubwa nikamkatia jamaa flani migu 20 maana yake kiwanja 1 kilichopimwa mi nikamkatia jamaa miguu 20 kwa hiyo mpaka sasa vimekuwa 2.
1) Je kuna athari yeyote mbeleni huko?
2) Kuna uwezekano wa kupimwa tena vitoke viwili maana yake wagawe pale kati mpakani kwa jamaa?
3) Nikitaka hati inakuaje?
Chief unakitu naomba unisaidie hiki kitu.Jina lako haliendani kabisa na hicho ulichofanya, vinatofautiana sana.
Kama kiwanja kimepimwa, yaani Surveyed Plot, Je, ulifuata hatua zote za kisheria ktk kununua kiwanja hicho?Ni kiwanja namba ngapi, kitalu gani na kipo eneo gani hasa (location)? Je, ramani ya upimaji (survey map) ya hicho kiwanja umewahi kuiona au unayo nakala yake? Je, nyaraka za umiliki za hicho kiwanja unazo?Kiwanja hicho kina ukubwa gani hasa? Kiwanja hicho kimepangiwa matumizi gani hasa kwa mujibu wa mchoro wa mipangomiji?
Kitendo ulichofanya ni makosa makubwa, ilipaswa kwanza ujue taarifa zote muhimu kuhusu kiwanja hicho kabla ya kujaribu kufanya muamala wowote ule kuhusu kiwanja husika. Inaweza ikakuwia vigumu sana hapo baadaye katika kufanya mchakato wa kukigawanya (subdivision) ya hicho kiwanja. Umefanya UHOLELA sana ktk kushughulikia suala la kiwanja hicho.
Halafu analipia bando na kujiunga na JF!Hata mimi sitaki kumuudhi mleta uzi. Ngoja niwe msomaji tu.
Dunia ya leo bado tunapima viwanja kwa hatua za Miguu?
Hapo inabidi umtafute mtaalamu wa upimaji yeye .atachukua vipimo kwa hilo eneo na kufanya search ,Hiyo search itakuja na majibu iwapo eneo limepimwa au laaah,matumizi ya hilo eneo kama ni kwa makazi,biashara n.k gharama zake sio kubwa ni 50k - 80kChief unakitu naomba unisaidie hiki kitu.
Je?, Unaponunua kiwanja hasa mjini ni nyaraka zipi muhimu kuwa nazo na je? Ni taarifa zipi muhimu napaswa niwe nazo juu ya kiwanja husika.