K kaniki2 Senior Member Joined Nov 6, 2012 Posts 124 Reaction score 36 Nov 16, 2012 #1 Hi guys. Naombeni ushauri kuhusu tractors. Tractor aina gani linafaa kulima in most areas in Tanzania? Wapi ninaweza kununu used one? Bei ziko vipi? Naweza kuagiza toka europe/wapi? Asanteni sana.
Hi guys. Naombeni ushauri kuhusu tractors. Tractor aina gani linafaa kulima in most areas in Tanzania? Wapi ninaweza kununu used one? Bei ziko vipi? Naweza kuagiza toka europe/wapi? Asanteni sana.
Sabayi JF-Expert Member Joined Dec 4, 2010 Posts 2,310 Reaction score 999 Nov 16, 2012 #2 Farm Equipment with AgriAffaires, Tractor and Machinery - Used Farm Equipment for Sale - Used Farm Machinery Cheki kwenye hiyo website ukipata kitu John Deere hautajuta ni za ukweli sana
Farm Equipment with AgriAffaires, Tractor and Machinery - Used Farm Equipment for Sale - Used Farm Machinery Cheki kwenye hiyo website ukipata kitu John Deere hautajuta ni za ukweli sana
K kaniki2 Senior Member Joined Nov 6, 2012 Posts 124 Reaction score 36 Nov 17, 2012 Thread starter #3 Sabayi said: Farm Equipment with AgriAffaires, Tractor and Machinery - Used Farm Equipment for Sale - Used Farm Machinery Cheki kwenye hiyo website ukipata kitu John Deere hautajuta ni za ukweli sana Click to expand... Thanks.
Sabayi said: Farm Equipment with AgriAffaires, Tractor and Machinery - Used Farm Equipment for Sale - Used Farm Machinery Cheki kwenye hiyo website ukipata kitu John Deere hautajuta ni za ukweli sana Click to expand... Thanks.