Captain 22175
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 249
- 407
Msaada wakuu, gari yngu ilikaa pasipo kuwashwa Kwa almost a year, Leo nilikua nataka kuiwasha ikakataa so nikaita fundi umeme na engine. Baada ya kuhangaika sana computer ya fundi umeme imeleta hili tatizo Sasa wajuzi naomba ushauli wenu tafadhali.
Computer ndo hiyo na gari ndo hiyo.
View attachment 1846000View attachment 1846001View attachment 1846002
Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
Ubarikiwe sana kiongozi. Nimeanza kupata mwangakwa Benz sababu za hiyo code ni hizi.
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1846125
Before Mnunue chochote hasa hiyo sensor make sure mmeconfirm kama inagenerate signal.
Shukrani.
Thanks muchMmecheki kwanza battery kama ina voltage ya kutosha ? Kununua sensor iwe zoezi la mwisho, muanzie kwenye battery halafu wiring mpaka kufika kwenye hiyo camshaft sensor. Ila kuiacha benz kwa zaidi ya miezi sita bila kuipiga moto ni risk sana, ianonekana ya kwako umebahatika kupata tatizo dogo maana hata hiyo sensor ukisema uagize online haina bei ya kutisha.