Msaada wa ushauri na matibabu

Msaada wa ushauri na matibabu

Hechinodemata

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2016
Posts
1,488
Reaction score
3,338
Wadau poleni kwa mihangaiko
Nikienda moja kwa moja, Nina mdogo wangu wa kiume wa miaka 17 mwanafunzi wa f3 anavidonda sehemu za siri za uume anasema vinapona vina vinarudi tena ubichi vinawasha sana kama fangasi, wakati mwingine njia ya mkojo inatoa uchafu wenye harufu mbaya, Yote haya niliambiwa na shemeji yake mume wangu ambaye nae aliambiwa na rafiki wake mmoja walipokutana maeneo yao, hataki kwenda hospital anajifungia ndani tu, mi nikimuuliza hakunijibu ila anaonekana anadukuduku, wenzake wanamwambia ni ugonjwa wa zinaa kwa kua ana videmu vyake huko magomeni, naombeni ushaur wa dawa za kutumia, pia naombeni mnipe njia nzuri ya kushauriana nae, Mimi ndo namsomesha kwa kua hatuna wazazi tena, kwa wajuzi hasa madokta,
 
Mpeleke hospital apate vipimo stahiki
Subir wataalam waje

Sent using Jamii Forums mobile app

Hiyo direct ni STD's SEXUAL TRANSMITTED DISEASES, mwambie aache ujinga apambane na hali yake, hilo sio tatizo la kulogwa na wala halitaisha bila kupata tiba sahihi hospital

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njia sahihi ni kwenda hospitali yeye na ivyo videmu vyake wakapate vipimo na dawa stahiki.
 
17 yrs ameshaanza kuugua STD's kweli utandawazi mbaya sana ukute hivyo videmu vyake vina toka na wazee sawa na baba zao na hivi kwao elimu ya kujikinga na magonjwa ya zinaa imewakalia kushoto basi wanapanua paja bila kinga.

Maji yakishamwagika hakuna jinsi zaidi ya kwenda kuchota mengine kwani yale hayazoleki tena, Kwa sababu kijana yupo chini ya usimamizi wako atake asitake inabidi umpeleke hospitali wakampime kwanza ili ijulikana amepata ugonjwa gani ili apawe dawa stahiki kulingana na tatizo .

Pia muombe mume wako aongee na shemeji yake kuhusu maginjwa ya zinaa siku hizi magonjwa ni mengu sana asije akapata HIV kwa kuendekeza tamaa za mwili wake . Kwa sababu kwa umri huo ni kipindi cha foolish age so huwa wanapenda sana ngono kuliko chakula. Na mbaya zaidi wanafanya ngono zembe bila kutumia kinga ya aina yoyote ipo siku utaletewa wifi yako amejaa tumbo sijui utakuja tena kuomba ushauri huku wa kwenda kutoa mimba ya wifi yako as along as waote watakuwa ni wanafunzi.
 
Wadau poleni kwa mihangaiko
Nikienda moja kwa moja, Nina mdogo wangu wa kiume wa miaka 17 mwanafunzi wa f3 anavidonda sehemu za siri za uume anasema vinapona vina vinarudi tena ubichi vinawasha sana kama fangasi, wakati mwingine njia ya mkojo inatoa uchafu wenye harufu mbaya, Yote haya niliambiwa na shemeji yake mume wangu ambaye nae aliambiwa na rafiki wake mmoja walipokutana maeneo yao, hataki kwenda hospital anajifungia ndani tu, mi nikimuuliza hakunijibu ila anaonekana anadukuduku, wenzake wanamwambia ni ugonjwa wa zinaa kwa kua ana videmu vyake huko magomeni, naombeni ushaur wa dawa za kutumia, pia naombeni mnipe njia nzuri ya kushauriana nae, Mimi ndo namsomesha kwa kua hatuna wazazi tena, kwa wajuzi hasa madokta,
Mkuu wewe ni me au ke?

Naombeni ushauri nimeadhirika na punyeto
 
Back
Top Bottom