Ha ha haaa, Mi nadaiwa simu kaka mpaka polisi tumefikishana
lakini nimetoa nje, eti haiwezekani lazima nimrudishie kisa hajawahi
hata siku moja...... upuuzi!
Ha ha haaa, Mi nadaiwa simu kaka mpaka polisi tumefikishana
lakini nimetoa nje, eti haiwezekani lazima nimrudishie kisa hajawahi
hata siku moja...... upuuzi!
sasa wwe untaka tukushauri nni mana kusoma hujui hata picha tu.................hvo vitu uliombwa si ulimbukeni wako tu
Mkuu bahati mbaya tupo humu JF ila ingekuwa mtaani ningekualika sehem tuongee
Maana una ile idea marafiki walivyo siku hizi nisaidie na then ukishanisaidia au kunishauri huna tena thamani nami
Ndo marafiki wa siku hizi maana hata ukimweleza tatizo ushauri anaokupa ni wa kukuangamiza zaidi wala sio kukusaidia
yaani marafiki wamebaki ni wale wa kukutana club mnunulie bia na nyama choma piga story za wanawake na then kila mmoja aende zake hakuna la maana wala kushauriana
Ukimpata mmoja wa maana ni baada ya kuteseka miaka kadhaa

Mapenzi yanajijenga na hayajengwi kwa kulazimisha.

Unapaswa umshukuru mungu kwa kumuumbua huyo mnafiki wa mapenzi kabla haujamuoa.

Piga moyo konde,

si kwamba hakuna maisha bila yeye, bali hakuna maisha bila pumzi.

Nakutakia kila la kheri ndg.
Habari zenu wana Jamvi :;
Kwanza namshukuru Mwenyezi Mungu kwa baraka na rehema zake kwangu. Kwa ufupi nimepitia ktk kipindi cha majaribu..iko. hivi, :Nilikuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi na dada fulani, ambao mie niliuona ni serious relationship,ambayo nilitegemea kunifikisha kwenye ndoa, if God wished. Nilimaliza degree yangu hapo mlimani miaka miwili ilopita;baadaye nilikwenda Italy kwa masters yangu..kabla ya kusafiri nilianzisha uhusiano na dada fulani aliyekuwa anamalizia degree ya medicine,na kwakweli nilimpenda na niliamini naye alinipenda. Kwa kipindi chote nilipokuwa chuoni huko tuliwasiliana na nilimtumia pesa nyingi tu kuliko hata nilivyowatumia ndugu zangu. Nilivyorudi mwanzoni mwa mwaka huu, alikuwa kesha badilika kimwenendo na tabia., akawa ni mtu wa kupenda kujirusha, kwenda night clubs hata nikimuonya hanielewi tena. Kwahakika hata life standard and stile yake ilibadilika kutokana na pesa nilizokuwa nikimtumia. Muda si mrefu nikapata habari kuwa anauhusiano wa kimapenzi na kijana fulani ati anafanya ikulu. Nilifuatilia nikapata uhakika. Niliumia sana na katika harakati za kutaka arudishe gari dogo nililomnunulia, nilimfata Moshi alikokuwa amekwenda, ofcourse nilimfata huko baada ya kusikia kuwa akirudi dar atakaa siku moja then atakuwa safarini China. Basi nilikwenda huko na akanikimbia, niliamua kurudi. Nilipofika maeneo ya Korogwe nilipata ajali mbaya ya gari na niliponea chupuchupu kwani gari yangu ilikuwa ikiwaka moto ndipo walitokea wasamaria wema wakanichomoa. Yule dada alipata taarifa yeye na hata wazazi wake, lakini kwakipindi chote nilichokuwa hospitalini sikuwahi pokea hata SMS ya kunipa pole. Ndugu zangu imefikia hatua sasa sitaki kujikubali na hali hii. Nimejitahidi kusamehe na kusahau, lakini ninashindwa.ukweli nahitaji msaada wa ushauri na faraja ya wote walioguswa na mkasa huu.
You deserve, angalia kwenye story uliyotoa wapi ulichemka. Kwa sababu huna macho ya imani basi utaishia kuona wanawake wazuri wanapita!
You deserve, angalia kwenye story uliyotoa wapi ulichemka. Kwa sababu huna macho ya imani basi utaishia kuona wanawake wazuri wanapita!
Thanx..that's why am still alive..may be I've got beautiful surprise ahead, as u say.asante.Jipe moyo utayashinda haya majaribu tu kwa mwanaume. Inabidi uwe makini na maisha...u neva knw u have a beautiful surprises ahead of u. Ukubali tu na kusonga. Umesoma maisha utayaweza bila shaka na bila huyo bibiye. Take the experience as a challenge and move on.
Asante kiongozi wangu.Pole sana,inauma sana muombe mungu akupe ujasiri na moyo wa kusamehe na kusahau.things happen for some reason,gari kitu gani bwana
You deserve, angalia kwenye story uliyotoa wapi ulichemka. Kwa sababu huna macho ya imani basi utaishia kuona wanawake wazuri wanapita!
easy man its a matter of time ul be fine, meet friends a lot, have fun, watch football, catch up with ur family member, do the things which make u feel better, dont be indoors, learn a new hobby, in shorty keep urself busy n ul be just fine...without her in ur life..pole sana n al da best