msaada wa ushauri tafadhali wanaJF

Jeff

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2009
Posts
1,293
Reaction score
200
kuna nafasi ya kazi nimepata sudan,kwa kuunganishwa na mtu lakini wananiambia natakiwa nimpe huyo mtu laki tano baada ya kupata ticket ya kwenda huko sudan kuanza kazi,na malipo yatakuwa ni US$ 500 kwa mwezi,housing and transport allowance,
Naomba kujua haya yafuatayo;
1: je ni kweli hakutakuwa na utapeli hapa hata kama wakishanipa ticket ya ndege kusafiri kwenda huko?
2: vipi kuhusu gharama za maisha kwa mshahara huo wa US$ 500 kwa mwezi je utatoshelezea mahitaji pamoja kusave?
3: Kwa wenye information zozote kuhusu usalama kule anaijuze,(usalama ukoje)
naomba msaada tafadhali, na kama itakuwa kweli nikifanikiwa basi nitarudi hapa JF na kuwapa mchakato na wengine watakaohitaji
Asanteni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…