Msaada wa ushauri tu

Msaada wa ushauri tu

Edrick men

Member
Joined
Jul 29, 2016
Posts
10
Reaction score
2
Naomba msaada wakuu juu kuanzisha blog unaweza kulenga kitu gan ambacho kitafanya uwe na wasomaji wengi na wafuatiliaji wa Blog ako nitashukuru sana.
 
Mkuu....kuteka tension kwenye blog inahitaji nguvu kubwa mithri ya kuchizika kimtandao...usifuate blog zenye mambo ya ngono fuata yale unayopenda wewe hakikisha unaandika post nzuri ukizisindikiza na picha....vile vile unatakiwa upost atleast post 5 na kuendelea kwa siku...usisahau kufungua page au account kwenye mitandao mingine ambayo utaitumia kupost link za post za kwenye blog hii itasaidia sana kuwaleta watu kutoka huko kwenye mitandao mingine kuja kwenye blog yako. Mfano umepost habari kwenye blog chukua link ya hiyo habari nenda kapast kwenye wall za mitandao yako....hii itawaleta marafiki zako kwenye blog.
 
Back
Top Bottom