Msaada wa ushauri unahitajika

Midumare Ngatuni Iwato

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2016
Posts
1,653
Reaction score
2,045
Salamu ndugu na Jamaa zangu wote.poleni na pongezi kwa majukumu makubwa ya kizalendo kwa Taifa letu zuri sana la Tanzania.

Naombeni ushauri waharaka mke wa rafiki yangu kutokana na maelezo ya rafiki yangu anatatizo la kubleed muda mrefu na kwa wakati sio wake na ametumia dawa bado ngumu naombeni ushauri wenu Wa haraka sana asanteni
 
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…