Msaada wa ushauri wa Bodi ya Fuso

hp4510

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
7,235
Reaction score
7,392
Nimenunua gari aina ya fuso
Sasa bodi yake ni zile kama za kubebea samaki zile za bati

Watu wengi wanashauri nishushe bodi zima na niweke bodi jipya la bati swali kwa wataalam napenda kujua faida na hasara

Pia naomba mtu yoyote mwenye utaalam wa kutengeneza hizo bodi za mabati anambie hapa anafanya kwa sh ngapi

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…