silver25
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 743
- 44
Jamani hili langu mimi mwenyewe
nimekuwa nikifanya kazi kwa takribani miaka 5 sasa na shirika moja la kimataifa hapa nchini, na position yangu ni ya juu tu.
1. Mshahara wangu umekuwa haulidhishi tokea ninaanza kazi na kila siku nimekuwa nikiwaweka kikao ili waniongezee na kunambia policy ya nchi yao hairuhusu.
2. Salary increment kwa kila mwana tuandikapo mkataba mpya imekuwa shida kwani mimi na mtu aliye anza juzi mshahara upo sawa, nashangaa no serniority hapa?
3. Seating allowance kwa kikao chochote tunacho kaa cha office yetu haitolewi na hilo pia wanasema policy ya nchi yao haviruhisi.
4. Kuna kitu kama medical insurance hili si lalazima kwa international organisation kuwapatia local employees? Maana wao wanayo ila si wafanyakazi wa kitanzania.
5. Per dm, wafanyakazi wa kitanzania wanapewa kwa ugomvi kitu ambacho nakishangaa sana hapa.
6. Leave, siku za likizo zikibaki huwa hazilipwi kwa muda wote ambao nimekaa nao.
Sasa nimechoka na hivi vitu vdogovidogo na ninaona kuna haki fulani naikosa hebu nisaidieni niweze kupigania haki yangu niliyo zulimiwa kwa muda wa miaka mitano.
Naanzia wapi, natokea wapi na nini natakiwa nikipiganie na kipi nikiache. Kwa organisation hii iliyo chini ya ubalozi flani.