M mge JF-Expert Member Joined Dec 19, 2013 Posts 558 Reaction score 179 Mar 3, 2016 #1 Jamani nataka kufungua duka la kuuza sukari kwa jumla tu yaani mifuko ya 25kgs na 50kgs mwenye uelewa mzuri kuhusu eneo hili anishauri. Tafadhali nimepata frem Gongo la mboto. Maoni yenu plz
Jamani nataka kufungua duka la kuuza sukari kwa jumla tu yaani mifuko ya 25kgs na 50kgs mwenye uelewa mzuri kuhusu eneo hili anishauri. Tafadhali nimepata frem Gongo la mboto. Maoni yenu plz