Ezekiel Msemwa
Member
- Apr 20, 2017
- 6
- 8
Habari za Leo Wakuu, naombeni msaada, nina kijana wangu wa kiume umri miaka 5, anasumbuliwa na tonsils, tulienda hospitali wakampatia dawa za kunywa antibiotics na nyingine Bufen.
Pamoja Nakuwa na tonsils mara nyingi analalamika kuumwa tumbo ambapo anapata maumivu makali sana analia huku ameshika sehemu za siri korodani.
Hospitali alipima Choo, mkojo, malaria, kipimo cha FBP pamoja na Ultrasound vyote majibu hayakuonesha chochote. Pia daktari alimuangalia kama huenda ana anemia ya tumbo, hiyo pia hana.
Nakuja kwenu wadau mnisaidie mwenye uelewa na hii na dawa yake ya hiyo Hali.
Msaada tafadhali.