Wakuu,nimepewa jukumu la kuwatafutia usafiri kikundi cha "wawekezaji" fulani kama 45 hivi kwenda Mbeya,wanaprefer kwenda kwa basi ili wapate fursa ya kutalii kudogo pia.,kwa wale wazoefu wa route ya Dar-Mbeya naomba mniambie ni basi gani la ukweli naweza kuwakodia hawa watu,ningependelea liwe ni basi linalotumia route hiyo siku zote.