Mkuu nashukuru kwa ushauri, nitafanya hivyo nitakapoonana nae maana yeye kwa sasa yupo Moshi na mimi niko Arusha. ila ni kwamba si kiwanja, ila kuna nyumba kabisa na inawapangaji ya fremu za duka kumi na mbili.. Kama unaijua Moshi kidogo iko Chaga street karibu kabisa na stendi ya Maili sita. ni sehemu ambayo kkuna biashara sana, na fremu maeneo yale ni mpaka laki 4 kwa fremu ya kawaida.