Habari zenu wakuu, mimi nimemaliza chuo hivi karibuni nikaingia katika field niliyosomea, ukemia , nikajikita kwenye ukemia wa plant kwa muda wa miezi kadhaa nikawa nime master vitu kwa kiasi kikubwa lakini changamoto sipati kazi na wala sijui cha kufanya.
Sehem niliyo anza kufanya kazi kama field niliacha kwa sababu alikuwepo mkemia aliyekuwa anafanya kazi na tajiri na sikuwa nalipwa. Kwa sasa kila nikijaribu kutafuta kazi, ni vigumu matajiri kuniamini kwa sababu hawanijui na hata nikipata wakemia ili wanishike mkono wananigeuka ni kama hawataki nijulikane kwa matajiri.
Naomba ushauri kwenu wakuu nifanyeje? Na hiyo ndio kazi niliyosomea nataka inisaidie?
Kwenu wakuu🙏