Msaada nina honda fit first generation, gari inamiss na kuishiwa nguvu kisha inazima na kuwaka taa ya check engine na taa ya betri baada ya muda inawaka , changamoto inaweza kuwa nini wajuzi na wazoefu
Nilipotazama feni ya ac haiwaki,ila feni ya engine inawaka fundi akanishauli nisitumie ac bado tatizo lipo Richa ya kutotumia ac