Msaada wa ushauri

Revolution

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2008
Posts
960
Reaction score
927
Wakuu wa JF,

Naombeni mnisaidie mawazo wakuu, nina milioni 9 ninataka kufanya finishing ya "kiwango wa chini" ya kanyumba changu maeneo ya kibada ili nihamie. Nimeshaweka bati, gypsum na aluminium, grill za madirisha na milango pamoja na umeme bado mabomba ya maji pamoja na masink, milango, kuchimba kisima, tiles, rangi na ukuta wa nje(fence) najua hii hela haiwezi kutosha lakini nataka nifanye ya muhimu ili niweze kuhamia, sasa naombeni mnishauri in the matter of priority nianze na kipi na niendelee na kipi katika highlighted items...nitashukuru kama mtalichukulia hili suala katika mtizamo chanya.
 
Du!! hamna hata mmoja wa kunisaidia ushauri?
 
Vuta subira mkuu.

Wajuvi wa mambo ya ujenzi wanakuja, itakuwa wamebanwa na kazi site.
 
hiyo nyumba rum ngapi?
Mbona kama m9 ni inatosha sana kufanya hayo unayotaka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…