Bukayo Saka
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 294
- 459
Habari wana jukwaa ;
Naomba msaada wa wataalamu na wazoefu , nina mtoto anaetumia maziwa ya lactogen ila leo nimeenda kununua muuzaji akanambia number 1 iko ya Kenya na kuna ya South Africa. Ya kenya anauza 35,000 na ya SA anauza 26,000. Nimesoma makopo kila kitu kipo sawa kwa upande wangu. Naomba kufahamu kama kuna utofauti.