Bukayo Saka
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 294
- 459
We huko mkoa gani mkuu?Habari wana jukwaa ;
Naomba msaada wa wataalamu na wazoefu , nina mtoto anaetumia maziwa ya lactogen ila leo nimeenda kununua muuzaji akanambia number 1 iko ya Kenya na kuna ya South Africa. Ya kenya anauza 345na ya SA anauza 26.. Nimesoma makopo kila kitu kipo sawa kwa upande wangu. Naomba kufahamu kama kuna utofauti.
mbeyaWe huko mkoa gani mkuu?
Lactrogen yote ni ya South Africa, kenya inategeneza under lincence ya Nasstle, hapo unapigwa, mkuu hapo kuna fake unataka kuuziwa.....mtoto ataharisha bure angalia sanaambeya
We huko mkoa gani mkuu
Sawa mkuu nashukuru umenifunifungua bei sio qualityLactrogen yote ni ya South Africa, kenya inategeneza under lincence ya Nasstle, hapo unapigwa, mkuu hapo kuna fake unataka kuuziwa.....mtoto ataharisha bure angalia san
Nakushauri tumia ya Mexico utanishukuru baadae hayana changamoto yoyote mpk namba mbili yake.Habari wana jukwaa ;
Naomba msaada wa wataalamu na wazoefu , nina mtoto anaetumia maziwa ya lactogen ila leo nimeenda kununua muuzaji akanambia number 1 iko ya Kenya na kuna ya South Africa. Ya kenya anauza 345na ya SA anauza 26.. Nimesoma makopo kila kitu kipo sawa kwa upande wangu. Naomba kufahamu kama kuna utofauti.
Hiyo maziwa ya Mexco inaitwa je mkuu?Nakushauri tumia ya Mexico utanishukuru baadae hayana changamoto yoyote mpk namba mbili yake.
Ni hiyohiyo lactogen,yaani made in Mexico yapo namba moja na mbili kutegemea na umri wa mtotoHiyo maziwa ya Mexco inaitwa je mkuu?
Nakushauri tumia ya Mexico utanishukuru baadae hayana changamoto yoyote mpk namba mbili yake.
Kopo limeandikwa ivy hayo ya South Africa au ndio ulimaanisha Mexico .Nakushauri tumia ya Mexico utanishukuru baadae hayana changamoto yoyote mpk namba mbili yake
Maziwa yote ya Nesstle hutoka Kenya ila hutegenezwa na lisence ya south Africa ya Lato hutoka uganda, mengine hutoka Ireland. Ila lactrogen ndo the best kwa mtoto infant.Hakuna chochote.........wewe nunua mpe mtoto........hao wote wanatumia formula moja shida ni lugha tu kwenye kopo ila hamna chochote ..............huyo anayesema fake au utapigwa hapo alipo banana tu hapajui vizuri ndio hapajue south africa au nairobi........hapo kuna moja haiko registered ndio maana wanasema fake si unajua serikali yako mpaka wapate pesa ya hiyo bidhaa ndio inakuwa sio fake
Hayo yameandikwa Made in Mexico Tena nadhani kwa rangi nyekundu kama sikoseiKopo limeandikwa ivy hayo ya South Africa au ndio ulimaanisha Mexico .
Huna unachokijua.............sio maziwa yote ya Nestlé yanatoka kenya ............maziwa yako aina nyingi tena ya kampuni hiyo hiyo ya Nestlé............hapo kenya wao ndio upokea mzigo kutoka kampuni mama na kuuchakata na kuutia kwenye vifungashio vya lugha yenu ya kiswahili........kwanza hata package ya kenya sio nzuri kama ya bidhaa hizo hizo za nestle south africa au Spain...........Nestlé ni kampuni kubwa sana ya bidhaa za watoto kwa afrika ofisi kubwa hiko misri na makao makuu yapo vevey,Switzerland...........nakupa tu mfano nido ipo ya south africa na Holland.......hiyo ya kenya huwezi kuielewa ukiinywa ya Holland zingatiaMaziwa yote ya Nesstle hutoka Kenya ila hutegenezwa na lisence ya south Africa ya Lato hutoka uganda, mengine hutoka Ireland. Ila lactrogen ndo the best kwa mtoto infant.
Mpaka hapo sijakuelewa unacho maanisha au unacho pinga,vyote unavyo sema ni sahihi Kenya ndo supplier wetu mkuu chini ya license ya south Africa,.........hapo unapinga lipi mkuu?Huna unachokijua.............sio maziwa yote ya Nestlé yanatoka kenya ............maziwa yako aina nyingi tena ya kampuni hiyo hiyo ya Nestlé............hapo kenya wao ndio upokea mzigo kutoka kampuni mama na kuuchakata na kuutia kwenye vifungashio vya lugha yenu ya kiswahili........kwanza hata package ya kenya sio nzuri kama ya bidhaa hizo hizo za nestle south africa au Spain...........Nestlé ni kampuni kubwa sana ya bidhaa za watoto kwa afrika ofisi kubwa hiko misri na makao makuu yapo vevey,Switzerland...........nakupa tu mfano nido ipo ya south africa na Holland.......hiyo ya kenya huwezi kuielewa ukiinywa ya Holland zingatia
Nashukuru kwa ushauri KiongoziiLactogen iliyoandikwa kwa lugha ya kiswahili na kingereza hiyo ndio umeruhusiwa kuuzwa Tz kupitia mamlaka za Tz.
Kitu chochote chenye us ajili ndio tuna uhakika na ubora wake na hata kikikudhuru unajua pa kuanzia.
Kuhusu viambata hivyo usivifuatishe mana kama mm na toa kitu fake Nita andika kiambata fake au vikaweka kwenye uwiano mdogo.
Ushauri wangu nunua yenye us ajili hiyo ya 35,000 na ununue kwenye ma famasi au masupermaket
Mama wa mtoto kafariki, au ana tatizo la Kiafya la kumfanya asinyonyeshe?Lactogen hizo zimetengenezwa kama kuokoa maisha ya mtoto endapo mama wa mtoto Kafariki au kapata tatizo kubwa sana la kiafya la kumfanya asinyonyeshe, Lactogen sio mbadala wa mama mama mzazi ambaye ni mzima na yupo tu ila yuko busy hataki kunyonyesha mtoto, wengine wanaogopa matiti kulegea sana, kama Mama ni mzima hana tatizo la afya basi achana na huu ujinga wa Lactogen, Kibongobongo sasa Wa mama walisha ona ndio suluhisho lao. Lactogen itumike endapo kuna sababu nilizo zitaja hapo juu. Ubusy wa mama sio sababu moja wapo.Habari wana jukwaa ;
Naomba msaada wa wataalamu na wazoefu , nina mtoto anaetumia maziwa ya lactogen ila leo nimeenda kununua muuzaji akanambia number 1 iko ya Kenya na kuna ya South Africa. Ya kenya anauza 35,000 na ya SA anauza 26,000. Nimesoma makopo kila kitu kipo sawa kwa upande wangu. Naomba kufahamu kama kuna utofauti.
GoodMama wa mtoto kafariki, au ana tatizo la Kiafya la kumfanya asinyonyeshe?Lactogen hizo zimetengenezwa kama kuokoa maisha ya mtoto endapo mama wa mtoto Kafariki au kapata tatizo kubwa sana la kiafya la kumfanya asinyonyeshe, Lactogen sio mbadala wa mama mama mzazi ambaye ni mzima na yupo tu ila yuko busy hataki kunyonyesha mtoto, wengine wanaogopa matiti kulegea sana, kama Mama ni mzima hana tatizo la afya basi achana na huu ujinga wa Lactogen, Kibongobongo sasa Wa mama walisha ona ndio suluhisho lao. Lactogen itumike endapo kuna sababu nilizo zitaja hapo juu. Ubusy wa mama sio sababu moja wapo.