Msaada wa viatu vya kike na mikoba toka china

Msaada wa viatu vya kike na mikoba toka china

DR. MWAKABANJE

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2012
Posts
1,976
Reaction score
3,130
Habari wadau!
Ili kukabiliana na changamoto za maisha mbali na kakazi kangu ka serikali kanakonipatia ridhiki ya kila siku, ndani ya miezi michache ijayo nakusudia kufungua duka la viatu na mikoba ya kike huko mkoani.

Msaada! naomba kupata ushauri juu ya biashara hii kama vile, aina ya viatu, sehemu ya kununua kwa bei ya jumla kwa bei rahisi na ikiwezekana namna ya kupata mzigo moja kwa moja toka china au sehemu nyingne!

AHSANTENI
 
Back
Top Bottom