CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Wakuu nimeshindwa mahali pa kupata list ya mashine au aina ya Mashine za kilmo zenye msamaha wa Kodi endapo unaagiza kutoka Nje, lengo langu nilitaka kujua kama Mashine ya Vifaranga incubators imo kwenye hilo kundi au haimo