CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Chasha ni kweli umeleta hoja hii muda muafaka! Wanaojua hebu tusaidieni kuweka wazi hili. Je mashine za kupandia, kupalilia, kupulizia madawa shambani, kuvunia mazao nazo je zinahusika hapa? Au ni matrekta tu?
Chasha ni kweli umeleta hoja hii muda muafaka! Wanaojua hebu tusaidieni kuweka wazi hili. Je mashine za kupandia, kupalilia, kupulizia madawa shambani, kuvunia mazao nazo je zinahusika hapa? Au ni matrekta tu?
Hizo zote ni hazina kodi wala ushuru ni gharama zako za clearance na Port charges tu
mkuu,
Naomba ufafanuzi hazina kodi ipi labda kati ya hizi;
Import duty,custom duty na VAT?
How do you prove unaitumia shamba,nadhani imefika wakati sasa wajasiliamali kwenye sekta za kilimo na ufugaji kuwa na registered companies......sidhani kama individual ukipresent kuwa unaingiza Generator watakuacha hivihiviYa mashine ya Fifaranga niliwaandika email TRA na wamenijibu kwamba haitozwi kodi, ni kwamba ziko nyingia sana, hadi Genreata kama unampango wa kulitumia Shambani au kwenye ufugaji unaweza ingiza bila Kodi
Hiyo ya kwako nenda SIDO usichezee dola bure. Vifaa vyote vya kilimo na hela hawakupi wewe wanamlipa supplier
How do you prove unaitumia shamba,nadhani imefika wakati sasa wajasiliamali kwenye sekta za kilimo na ufugaji kuwa na registered companies......sidhani kama individual ukipresent kuwa unaingiza Generator watakuacha hivihivi
Inatakiawa upitie wizara ya Kilimo ndo wanatoa kibali cha wewe kuto lipa kodi
Ukiipata niangalizie kama rake imo?