Msaada wa vifaa vya michezo

mashambani kwao

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2011
Posts
370
Reaction score
56
Wakuu nilianza mazoezi ya viungo mwaka jana mwezi wa sita nahitaji mahali yaani eneo ambalo wanauza vifaa kama vya kuongeza nguvu,nikiwa na maana ya VYUMA VIZITO.Mimi nipo bagamoyo,naomba kuelekezwa tu, kwaresma njema wakuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…