Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,264
- 678
Kuna mtu sitaki kuona picha yake kwenye internat, inawezekana na wewe anakukwaza ukimuona, Najua Virus ni mbaya kwa computer yangu but ningependa huyu jamaa awe virus kila niingiapo kwenye internet. Msaada kama unaweza kutengeneza virus ya picha