Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,264
- 678
Kuna mtu sitaki kuona picha yake kwenye internat, inawezekana na wewe anakukwaza ukimuona, Najua Virus ni mbaya kwa computer yangu but ningependa huyu jamaa awe virus kila niingiapo kwenye internet. Msaada kama unaweza kutengeneza virus ya picha
Sijaelewa.
masihara haya. Hebu toa description ya huyo virus unataka afanye nini exactly, then weka link ya hiyo picha hapa then nitamuweka huyo virus hapa in a few hours.
angalizo usije ukaletewa picha zaidi wengine tunatoka mumuhumu
Masihara haya. Hebu toa description ya huyo virus unataka afanye nini exactly, then weka link ya hiyo picha hapa then nitamuweka huyo virus hapa in a few hours.