Msaada wa vitabu gani vizuri vya sheria,vlivyoandikwa na nani na mahali vinapopatikana

mfungo

Member
Joined
Jan 8, 2013
Posts
41
Reaction score
4
Ndugu wanajamii forum,naomba msaada wa vitabu gani vizuri vya sheria, majina ya waandishi wa vitabu,maduka gani vinapatikana na katika mikoa ipi katika kozi zote za sheria kuanzia ngazi ya degree,law school,masters na doctorate.kwa sasa naishi mwanza.tafadhali naomba msaada wenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…