Msaada wa vitabu

Msaada wa vitabu

Maria Nyedetse

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2021
Posts
661
Reaction score
1,501
Habari za asubuhi wanajamvi,

Samahani naomba mwenye vitabu hivi PDF anisaidie tafadhali
1. Rich Dad Poor Dad
2. Why A students Work for C students
3. Cash Flow Quadrant

Vitabu vyote hivi vimeandikwa na mwandishi Robert Kiyosaki. Kama kuna vitabu vingine mfano wake pia itakuwa vizuri
 
Daah, ninacho Rich dady poor daddy lakini inafeli kila Niki attach
 
Habari za asubuhi wanajamvi,

Samahani naomba mwenye vitabu hivi PDF anisaidie tafadhali
1. Rich Dad Poor Dad
2. Why A students Work for C students
3. Cash Flow Quadrant

Vitabu vyote hivi vimeandikwa na mwandishi Robert Kiyosaki. Kama kuna vitabu vingine mfano wake pia itakuwa vizuri
 
Attachments

Nani anacho hiki?
the-art-of-trading-refined.jpg
 
Back
Top Bottom