Maria Nyedetse
JF-Expert Member
- Apr 24, 2021
- 661
- 1,501
Jaribu tena utafanikiwaDaah, ninacho Rich dady poor daddy lakini inafeli kila Niki attach
Habari za asubuhi wanajamvi,
Samahani naomba mwenye vitabu hivi PDF anisaidie tafadhali
1. Rich Dad Poor Dad
2. Why A students Work for C students
3. Cash Flow Quadrant
Vitabu vyote hivi vimeandikwa na mwandishi Robert Kiyosaki. Kama kuna vitabu vingine mfano wake pia itakuwa vizuri
You have beautiful name.thanks a lot
You have beautiful name.
Book Cover tamu...kinahusu niniNani anacho hiki?View attachment 1801022