Habari wana JF, natafuta vitabu vifuatavyo:-
1. Love without fear, Mtunzi anaitwa Eustace Chesser (soft copy au hard copy)
2. The Valentine, sikumbuki mtunzi lakini kitabu kinahusu dada mmoja alipendwa na ndugu wawili.
Msaada kwa yeyote mwenye navyo (mwenye hata kimoja kati ya hivyo) asaidie.