collinswilliam63 Member Joined Oct 12, 2014 Posts 78 Reaction score 48 Nov 5, 2022 #1 Habari, Naomba msaada wa kufahamishwa wapi naweza pata vitambaa vizuri vya sofa vinavyodumu kwa muda mrefu na bei yake. Nitashukuru sana kwa msaada wenu. Ahsante
Habari, Naomba msaada wa kufahamishwa wapi naweza pata vitambaa vizuri vya sofa vinavyodumu kwa muda mrefu na bei yake. Nitashukuru sana kwa msaada wenu. Ahsante
Freyzem JF-Expert Member Joined Jun 29, 2013 Posts 10,120 Reaction score 24,667 Nov 5, 2022 #2 Hujasema ulipo, utasaidiwaje sasa...? Btw nenda Kariakoo, huko utapata kitambaa cha hadi mita moja moja 50k kulingana na ubora unaoutaka! Tembelea maduka ya Woisso
Hujasema ulipo, utasaidiwaje sasa...? Btw nenda Kariakoo, huko utapata kitambaa cha hadi mita moja moja 50k kulingana na ubora unaoutaka! Tembelea maduka ya Woisso