Msaada wa Vyuma vya Turubai

Msaada wa Vyuma vya Turubai

jashmoe32

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
1,089
Reaction score
424
Habari,

Nlikua naomba msaada kuhusiana na material/vyuma yanayofaa kutengenezea stendi ya tenti. Msaada kuhusiana na ni urefu gani ni sahihi na ni chuma au aluminium kinachofaa kwa ajili ya kuweka kama stendi.

Je ni design gani nzuri ya kuweka, ile turubai yenye flat kwa juu au iliochongoka kwa juu

Ahsante kwa msaada
 
Back
Top Bottom