Hamad Mtwale
Member
- Jan 27, 2014
- 10
- 2
Habari Zenu Wanaforums Nakuja Kwenu Kutaka Ushaur Wenu. Nina Ndugu Yangu Amefanya Mtihan Wa Kidato Cha Nne Mwaka 2012 Na Matokeo Yake Hist D Math D Bios D Geo D Civ D Chem D Kisw F Engl F Phy F Na Anapenda Kozi Za Afya Yani Laboratory Technician Sasa Ninachokihtaji Ni Vyuo Gan Vizur Vinatoa Kozi Hyo Na Viwango Vyao Au Kozi Ipi Anaweza Kusoma Katika Afya Ukiacha Nersing?