Fino da Final
Member
- Jun 3, 2013
- 66
- 30
Nina mdogo wangu amepata PASS YA 0.9 ana phy F,
chem E, Bios C. anaweza kupata nafas vyuo vya afya vya serekalin na kwan registration imeshafunguliwa au maana najaribu kufuatilia sioni kitu
Hawezi kuchaguliwa labda wizara wabadilisheNina mdogo wangu amepata PASS YA 0.9 ana phy F,
chem E, Bios C. anaweza kupata nafas vyuo vya afya vya serekalin na kwan registration imeshafunguliwa au maana najaribu kufuatilia sioni kitu
Mwambieee atafutee private certificates serikaliii asaisikiaa kwenyebombaaaa BRN bhanaaaa encheeeNina mdogo wangu amepata PASS YA 0.9 ana phy F,
Chem E, Bios C. Anaweza kupata nafas vyuo vya afya vya serekalini na kwani registration imeshafunguliwa au maana najaribu kufuatilia sioni kitu
Nachukizwa na matumizi mabaya ya lugha...
Vipi mtu akipata B+, B,B,kwa pcb... Anapata clinical officer
Duuu uyooo BRN kaipatiaa kwelikwelii nimemuelewaa anaenda vizurii tuu sema watuwengii hawaendii advance skuizi kamahulijuii hiloo so ujanja tuu kwenye kuaapply maana wanachukuaga below 50 kwa vyuo vya government wahii kuapply afuu usifuate vyuo vyenye competition njoo rufaa mbeya dental therapy afuu nenda vyuo vyenye hospitali kubwaa na huwekilaa mda unapitiaa profile yako mtandaoni during admission maana maform six wengisanaa skuizi wanaapply hayotuuu...
Kumbeee nikuibiee lonjaa kakaa kamaa ukiona clinical wamekutosa kwa mfano hatamimii nipombeya dental kaka nilipita six nanina principal za kawaida tuu sio kazakwakoo zipovizuriisanaa kwanini naumia unazopoint nzuri umekosa bachelor daaa hiiserikalihiii??!! But uskate tamaa tulia waskiziee nacte wakishatoa watusue huwezi kosa sihapaa mbeya refferal tuna dental na nursing zote diploma babaaaSafi sana mkuu SEROTHERAPY hapo mbeya kuna clinical officer
Kumbeee nikuibiee lonjaa kakaa kamaa ukiona clinical wamekutosa kwa mfano hatamimii nipombeya dental kaka nilipita six nanina principal za kawaida tuu sio kazakwakoo zipovizuriisanaa kwanini naumia unazopoint nzuri umekosa bachelor daaa hiiserikalihiii??!! But uskate tamaa tulia waskiziee nacte wakishatoa watusue huwezi kosa sihapaa mbeya refferal tuna dental na nursing zote diploma babaaa