M miminho Member Joined Feb 15, 2012 Posts 46 Reaction score 7 Apr 27, 2015 #1 Habari wa ndugu ! Naomba kusaidiwa majina ya shule zinazofundisha walimu wa nursery (english medium) kama itawezekana na mawasiliano yao . NB: kwa zile zilizosajiriwa na serikali. Asante.
Habari wa ndugu ! Naomba kusaidiwa majina ya shule zinazofundisha walimu wa nursery (english medium) kama itawezekana na mawasiliano yao . NB: kwa zile zilizosajiriwa na serikali. Asante.
A AD MostWanted Senior Member Joined Mar 20, 2015 Posts 108 Reaction score 12 Apr 27, 2015 #2 we upo mkoa gan kwan...maana mimi nipo Dar...labda nijue ulipo nikuelekeze
beeper JF-Expert Member Joined Dec 30, 2013 Posts 253 Reaction score 106 Apr 27, 2015 #3 Kwa dar st mary tabata,safina ,al aramain, nk vipo vingi mno