Msaada wa Wataalamu wa Magonjwa ya Njia Ya Mkojo

Joined
Nov 17, 2015
Posts
97
Reaction score
23
Wakuu salaam.
Kuna ndugu yangu alikuwa anaumwa malaria kali,ikabidi awekewe catheter kwani alikuwa hajitambui. Baada ya siku mbili alitolewa huo mrija na kuruhusiwa kurudi nyumbani. Lakini wakati wanamtoa,wale manesi walifanya kosa na ikatoka damu nyingi sana,lakini mwisho wa siku wakasema wamerekebisha. Baada ya siku kadhaa akaanza kupata maumivu makali sana na damu kutoka wakati wa kujisaidia haja ndogo. Ameenda hospitali na kufanya vipimo kadhaa vya U.T.I lakini vyote ni negative. Tunaomba msaada wa wataalamu wa njia ya mkojo.
 
Daaaah alipata Urethral injury iliyosababishwa na Huo mrija wa mkojo na imepelekea apate Urethral stricture, nenda hospitali ya rufaa au mkoa akashughulikiwe kaka
 
Mkuu bhachu shukrani sana,lakini huko alipo ametoka leo hospitali ya wilaya akaambiwa amuone mtaalamu wa magonjwa ya njia ya mkojo,hivi sasa yupp njiani kuja Dar.
 
Daaaah alipata Urethral injury iliyosababishwa na Huo mrija wa mkojo na imepelekea apate Urethral stricture, nenda hospitali ya rufaa au mkoa akashughulikiwe kaka

Mkuu habari mimi nina tatizo kuna finyama naviona vimeota katika mlangi wa haja ndogo kipindi cha nyuma havikuwepo niliwahi ugua uti na fungus nikatibu na kupona ila hii ya sasa inanishangaza sana msaada wako mkuu.
 
Pole sana mkuu, hiyo itakua ni genital warts....nenda hospitality wakakutibu mapema mkuu
 
Mkuu bhachu nina warts kwenye vidole naomba msaada wako aysee
 
Back
Top Bottom