Msaada wa wazo la Biashara

Msaada wa wazo la Biashara

AK48

Senior Member
Joined
Mar 22, 2015
Posts
149
Reaction score
38
Wakuu habari,

Nimelima viazi na kufanikiwa kupata milioni 10. Nafikiria kuanzisha biashara hivyo naomba ushauri wenu, upande wa kilimo soko halitabiriki ndio maana nawaza kufanya jambo lingine.

Naishi Mafinga mjini.
 
NGOJA WANAKUJA PM KWA WINGI NA UANDIKE WOSIA KABISA TUNAZIKA AU TUNASAFIRISHA
 
Hongera mkuu..ulilima heka ngapi
 
Back
Top Bottom