Msaada wa wazo la biashara

Msaada wa wazo la biashara

BIG BLAND

New Member
Joined
May 13, 2024
Posts
4
Reaction score
3
Wakuu toka nizaliwe sijawahi fanya biashara yoyote na kwa sasa nina kama shilingi milion 2

Naomben wazo la biashara ili niweze kuiendeleza
 
Wakuu toka nizaliwe sijawahi fanya biashara yoyote na kwa sasa nina kama shilingi milion 2

Naomben wazo la biashara ili niweze kuiendeleza
Kabla ya kupata ushauri kwa watu.....

Wewe kama wewe ni kitu gani huwa unakipenda kukifanya, wazo gani lishawahi kukuijia au ukaona mtu anafanya nawe ukatamani kufanya?
 
Back
Top Bottom