Msaada wa wazo la kilimo cha biashara

popo1986

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2014
Posts
1,120
Reaction score
372
Wadau,

Naomba msaada nimeamua kufanya kilimo cha biashara kwaajili ya kujiongezea kipato baada ya kuona upenyo wa maisha ni mgumu sana.

Naomba mawazo yenu na kama unaweza kuni pm
 
Soma zilishajadiliwa humu, kisha linganisha na ulipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…