Mulangila Mukuru
JF-Expert Member
- Feb 24, 2010
- 1,945
- 728
nimejaribu imenikatalia mkuu kama zipo zingine naomba plsJaribu hizi 3YDB8-YY3P4-G7FCW-GJMPG-VK48C, nipe majibu kama kuna tatizo
nimejaribu imenikatalia mkuu kama zipo zingine naomba pls
wadau nina ka pc kangu niliwekewa win 7 ultimae na mjasiliamali lkn baada ya mwezi mmoja pc inaniandikia kuwa your window is not genuine ,mara you may be a victim of softwere counterfainting alafu hakubali sceensever yoyote,nimefuatilia thread moja humu nikapata key za beta,menterprise,home basic na premeum lkn zo zimegoma kwa wataalam naombeni msaada wenu.
Nimeku-PM, cheki na hzo nilizokutumia. Much love bro...
wadau nina ka pc kangu niliwekewa win 7 ultimae na mjasiliamali lkn baada ya mwezi mmoja pc inaniandikia kuwa your window is not genuine ,mara you may be a victim of softwere counterfainting alafu hakubali sceensever yoyote,nimefuatilia thread moja humu nikapata key za beta,menterprise,home basic na premeum lkn zo zimegoma kwa wataalam naombeni msaada wenu.
Maungila,
Kama uko Dar nitumie ujumbe katika PM, weka namba ya simu ili iwe rahisi kuwasiliana. Utapewa Windows 7 genuine pamoja na activator yake BURE.
Kazi njema
Alafu ukipewa key utafanya nini? window 7 sio kama windows XP. You better undertand how Windows 7 activation na keys zinavyofanya kazi kwanza.?
Sababu kuctivate online system itagundia hizo keys zishatumika.
Una option mbili au zaidi
Hope umeelewa.
- Nunua valid lpriduct kama una hela.
- Tafuta windows 7 activator . Hii ni software wametengeza wajanja kuwasaidia watoto wakulima kutumia windows 7. muulize au mpm jamaa anaitwa paulss alifanikiwaje kwa mbinu hii. atakumbia wapi pa kupata suluisho
SALUE MKUU...!NIMEFUAA MAELEKEZO YAKO KWA UFASAHA NA NIMEFANIKIWA VIZURI SANA KWELI JF NI SHULE TOSHA.:smile:Here aim mkuu, and that is what you have to do
kwanza nenda hapaDownload - µTorrent - a (very) tiny BitTorrent client pakuwa uttorent kisha install katika pc yako.
Kisha nenda hapa Windows 7 and Vista Activator - 32bit / 64bit - Ultimate, etc... (download torrent) - TPB soma maelezo yake na reviews ukiridhika click "download this torrent",automatic ita kuprompt kuchagua kudownload na uttorent, kubali na uttorent itapakuwa hiyo Activator.
Baada ya kupakuwa nenda ktk hiyo software kisha click kuifungua na itakuletea kitu kama hii na music kwa mbali
Just click Activate, itafanya mambo yake kisha pc ita restart, ikiwaka windows activated
Angalizo: fanya backup ya vitu vyako in case anything going wrong, pia baadhi ya antivirus zinaweza kuiblock hivyo turn it off
Nigongee thanx kuongeza msisitizoSALUE MKUU...!NIMEFUAA MAELEKEZO YAKO KWA UFASAHA NA NIMEFANIKIWA VIZURI SANA KWELI JF NI SHULE TOSHA.:smile: